KIJANA WA KITANZANIA ALIYETENGENEZA MTANDAO WA KIJAMII

Go down

KIJANA WA KITANZANIA ALIYETENGENEZA MTANDAO WA KIJAMII

Post by Admin on Fri Sep 30, 2016 12:47 pm

Elisha william ni miongoni mwa vijana waliofanikiwa kuibadilisha Mitazamo ya watu wengi kupitia fursa zilizopo mitandaoni.Kijana huyu kutoka Dodoma (chuo) ameweza kutengeneza mtandao wake wa kijamii uitwao 2day sky,ambao unakuwezesha kuwasiliana na marafiki,kupata habari,kuweka matangazo bila ya malipo yoyote na kila mtumiaji akaona.

Elisha William amekuwa miongoni mwa vijana wanaotabiliwa kuwa na mafanikio makubwa sana kutokana na kuthubutu kwake.Alisoma plograming lakini kabla ya kuajiliwa ameona ni bora ajiajiri yeye mwenyewe,sasa anaitaji support yako hivyo nakuomba wewe kijana uliyweza kusoma habari hizi ujiunge na mtandao huu.

ili uweze kujiunga na mtandao huu bonyeza maandshi ya blue hapo chini ...

http://www.2daysky.com/http://www.2daysky.com/

Admin
Admin

Posts : 5
Join date : 2016-09-30

View user profile http://kijana.board-directory.net

Back to top Go down

Re: KIJANA WA KITANZANIA ALIYETENGENEZA MTANDAO WA KIJAMII

Post by George Benard on Sat Oct 01, 2016 8:59 pm

Huo mtandao unamfaidishaje km ni wa Bure?

George Benard

Posts : 1
Join date : 2016-10-01

View user profile

Back to top Go down

asante kwa swali

Post by Admin on Sun Oct 02, 2016 12:37 am

George Benard wrote:Huo mtandao unamfaidishaje km ni wa Bure?
am ni kwamba kupitia mtandao huu wapo watu wengi wameamua kuwekeza katika idea ya kijana huyu,lakini pia huu sio mtandao wa bure kwasababu ni lazima uwe na mb ili utumie ila nilichokuwa nakimaanisha ni kwamba kuweka tangazo la biashara yako ndo buree haulipii.

Admin
Admin

Posts : 5
Join date : 2016-09-30

View user profile http://kijana.board-directory.net

Back to top Go down

Re: KIJANA WA KITANZANIA ALIYETENGENEZA MTANDAO WA KIJAMII

Post by Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum